Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 9 July 2019

Tengeneza dashibodi ya Google News Analytics

Tengeneza dashibodi ya Google News Analytics

PropellerAds
Dashibodi maalum ya Google News Publisher Analytics ni dashibodi ya Google Analytics ambapo unaweza kuangalia data kuhusu utendaji wa toleo lako. Utaipata ikiweka mipangilio ya Google Analytics katika toleo toleo lako la Google News.

Tengeneza dashibodi yako ya Google News Analytics

  1. Ingia katika Akaunti yako ya Google Analytics.
  2. Pakia dashibodi maalum ya Google News Publishers Analytics.
  3. Chagua mwonekano wa Google Analytics ambao unautumia kuona data yako ya Google News.
  4. Bofya Unda. Dashibodi yako mpya itafunguka.
PropellerAds

Angalia dashibodi yako ya Google News Analytics

Unaweza kupata dashibodi yako maalum ya Google News Publisher Analytics katika menyu ya kuvinjari ya mwonekano wa kuripoti wa Analytics, chini ya Dashibodi> Faragha.
Kwa chaguomsingi, dashibodi maalum ya Google News Publisher Analytics huonyesha data yako kwa kutumia wijeti zifuatazo.
  • Watumiaji kulingana na kifaa: Chati ya pai ambayo inalinganisha idadi ya wasomaji wanaotumia vifaa vya mkononi na wasomaji wanaotumia kompyuta ya mezani.
  • Watumiaji waliopo na watumiaji wapya: Grafu inayoonyesha idadi ya watumiaji wanaoona toleo lako kila siku na idadi ya watumiaji wapya ambao unawavutia.
  • Watumiaji wa sasa: Takwimu za wakati halisi zinazoonyesha idadi ya watumiaji wanaosoma toleo lako kwa sasa.
  • Watumiaji kulingana na nchi:Uchanganuzi wa kijiografia wa watumiaji wako, waliopangwa kulingana na nchi.
  • PropellerAds
  • Makala yaliyotazamwa zaidi: Jedwali la makala 10 maarufu katika toleo lako na idadi ya watumiaji na skrini zilizofunguliwa kutazama kila makala.
  • Sehemu zilizotazamwa zaidi Jedwali la sehemu 10 maarufu katika toleo lako na idadi ya watumiaji na skrini zilizofunguliwa kutazama kila sehemu. Unaweza kutumia data hii kuona kwa haraka idadi ya watumiaji wanaovinjari toleo lako na sehemu ambazo wanatazama ili wapate makala ya kusoma.
PropellerAds

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot